New video kutoka kwa mwandada nandy "KIVURUGE"
Msanii wa Bongo Fleva Kutoka nyumba ya vipaji ya THT, Nandy ameachia video ya wimbo wake wa Kivuruge na muongozaji wa kichupa hiki ni Msafiri kutoka Kwetu Studio. Tazama video hapa chini kisha dondosha comment yako
Post a Comment