Throw back na mfalme wa pop baada ya kutua Tanzania
Alikuwa mafalme wa pop duniani kwa sasa tuna muita marehemu Michael Jackson, kwa mwaka 1992 February hii alisha wahi kuja Tanzania na wakati anakuja Tanzania alifanikiwa kufanya mambo baadhi na mengine kufail kabisa
Wakati ana kuja litua uwanja wa ndege wa Dar es Salaam na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa wakati huo, hayati Hassan Diria kisha akapandishwa kwenye Benzi na kwenda Kilimanjaro Hotel. Baadae alikutana na Rais Mwinyi.Na wakapata ya maneno maneno mawili matatu
na hakuishia hapo kwani aliweza kukutana mheshimiwa Ibrashim lipumba mtaaramu wa uchcumi Tanzania
Kuna story maarufu mtaani kwamba alipofika uwanja wa ndege alirudi kwa sababu hakupendezwa na mazingira ya Tanzania ebwana hiyo story so kweli.Bali ukweli upo hapa
Kilichotokea ni kwamba alishindwa kwenda #Ngorongoro alikokuwa anatamani kwenda kwa sababu ndege yake inayobeba watu 60 isingeruhusiwa kutua mbugani. Hivyo aliondoka bila kufika Ngorongoro.Lakini alifika Sinza kwenye kituo cha watoto wenye mtindio wa Ubongo, na mitaa ya Azikiwe kwenye jumba la Sinema ambapo aliondoka na mikanda kama 10 hivi akaangalie kwao. Nahiyo ndo nakala fupi ya Hayati Michael Jackson

Post a Comment