Kutoka Salum Said mpaka Golden mjue kiundani
Ukisikia sauti yake utajua kuwa huyu ni kijana mwenye uwezo
mkubwa wakuimba anaitwa Salum Said Nyangumwe, mwenye umri wamiaka kumi na tisa
akiwa na mda mrefu wakuweza kufanaya makubwa katika mziki wa Tanzania anatokea
mjini morogoro mwenye dhamana na kibari
cha kabila la Kaguru
Q chief mkongwe wa bongofleva na mtaaalamu wa tasnia hii ndo
alikuwa mtu pekee aliye weza kumshawishi kijana Salum kuwa mwanamuziki na ndipo
hapo safari yake ya mziki ikaanza kuwa ya moto kwani mnamo mwaka 2014 akaingia
studio na kujipa jina la Golden a.k.a mama’s boy nakutoa ngoma yake ya kwanza iliyonda kwa
jina la “Tuachane salama” nakutoa vibao vingine vingi kama “I miss you”,”Mvua” na MVUA kwa sasa ndo ngoma yake mpya
Kijana Salum hakuishia hapo kwani akiwa na umri mdogo alianza kupanda kwenye majukwa, performance yake ya kwanza
kabisa ilikuwa 2013 katika tamasha MO kids got talent, ma huo ndo ukawa mwanzo
mzuri kwake kwani akaja kufanya performance nyingi sana ikiwemo ya Nandy na
Aslay katika kipindi cha mapenzi mubashara.
Pia Salum nikijana ambaye so mziki tuu bali hata masomo nayo pia anayaweka katika wakaati wake anachukua shahada ya muziki katika Chuo kikuu cha Daresalaam katika idara ya Ubunifu sanaa “creative arts”
Pia Salum nikijana ambaye so mziki tuu bali hata masomo nayo pia anayaweka katika wakaati wake anachukua shahada ya muziki katika Chuo kikuu cha Daresalaam katika idara ya Ubunifu sanaa “creative arts”
Salum anapata bahati yakuwa moja ya washiriki katika shindano la THE BURST shindano ambalo linahusisha muziki na linalo onekana clouds tv na nimshiriki namba 03 katika hatua aliyo fikia anatakiwa kupigiwa kula iliaweze shinda shindano hili ni rahisi sana nikumfata kati mtandao wake wakijamii wa Instagram @goldentzofficial kwani huko ndo ataweka njia nzima yakumpigia kura ”lets support the youth who deserve something better and let them be in international line ”
Post a Comment