Michy akumbana na ubaguzi Italy
Mchezaji toka team ya Borussia Dortmund Michy Batshuayi amabaye anachezea klabu hiyo akitokea darajani kwa mkopo, amekuwa akifanya powa sana tokea ametua huko Ujerumani lakin juzi katika game ya Europa amekumbana na ubaguzi wa rangi kutoka kwa mashabiki wa Torino
Ambapo Batshuayi aliamua kutumia ukulasa wake wa twitter kutoa machungu yake kuhusu kile kitendo nakuanzisha kampeni yakupinga ubaguzi wa rangi na kuwasihi watu wa weze kuangalia movie ya BLACK PANTHER

Post a Comment