Arsenal uso kwa uso na Ac milan ya Gatuso
Baada ya game za alhamis kuisha kwa upande wa Europa baada yahapo zikapatikana team ambazo zita shiriki katika hatua ya kumi na sita bora amabapo hapo tulishuhudia team zifuatazo zikiwa zimesha fuzu kwa hatua hiyo amabapo macho ya mashabiki wengi ilikuwa nikuona je wajukuu wa mzee wenger wata tupiwa na nani katika hatua hiyo ya kumi na sita
Draw kwa ajili ya mechi hizo ikachezeshwa huku ikimfanya Arsen wenger kuktana na Gatuso katika hatua hiyo kwa mala nyingne tena kwa kipindi hiki Gatuso akiwa kama kocha ambaye ana iongoza Ac milan amabyo ilionekana kupoteza uhalisia wake kwa kipindi cha hapa kati
Mashabiki wengi wana subili utamu wa game hiyo kwani mala ya mwiosho team hizo zilikutana hatua kama hiyo lakini ilikuwa katika UEFA champions league mwaka 2012 amabapo Arsenal alitolewa na Acmilan kwa ujumla wa magoli 4-3 ambapo game ya kwanza ilipigwa jijini roma Italy Arsenal alikaa chini kwa magoli manne kwa bila na wakati wa maludiano Arsenal aliamua kumpiga tatu bila najuhudi zao kugongwa mwamba kusonga mbele, kipindi hicho Arsenal ilikuwa ikisukumwa na watu kama Barcaly Sagna Emanuel Adebayor na wengineo wengi huku Ac milan ikiwa na Zlatan, Ricardo kaka na Robinho je kwa sasa Arsenal ata weza lipa kisasi kwa Ac milan

Match nyingine zitakazo pamba atua ya kumi na sita bora Europa ni hizii hapa
Lazio vs. Dynamo Kiev
RB Leipzig vs. Zenit St Petersburg
Atletico Madrid vs. Lokomotiv Moscow
CSKA Moscow vs. Lyon
Marseille vs. Athletic Bilbao
Sporting CP vs. Viktoria Plzen
Borussia Dortmund vs. Red Bull Salzburg
Post a Comment