The return of the king "SAMATA"
Kwa baada ya muda wakipindi cha miezi miwili mchezaji mbwana Ally Samata amerejea tena kuokoa jaahazi la team yake ya Krc Genk yamejulikana hivyo baada ya samata kusema kupitia mtandao wake wa insagram
Genk ambayo imeonekana kusuasua katikakipindi hiki cha hivi karibuni Genk ambayo kwa michezo mitatu ya mwisho imepata ushindi mja tuu draw mbili,kufungwa michezo miwili
Huku kwenye ligikuu ikiwa ya tano kutoka mwisho ikiwa na point 25 je kuludi kwa mbwana kuta saidia kuiondoa team hiyo huko mwishoni?
Genk ambayo imeonekana kusuasua katikakipindi hiki cha hivi karibuni Genk ambayo kwa michezo mitatu ya mwisho imepata ushindi mja tuu draw mbili,kufungwa michezo miwili
02/12/17 | FDA | Mechelen | 3 - 2 | Genk | |||
Sat | 09/12/17 | FDA | Genk | 1 - 1 | AS Eupen | ||
Wed | 13/12/17 | CUP | Genk | P 3 - 3 | Waasland-Beveren | ||
Sun | 17/12/17 | FDA | Sporting Charleroi | 1 - 1 | Genk | ||
Sat | 23/12/17 | FDA | Genk | 2 - 3 | Kortrijk |
Post a Comment