Barcelona washusha mashine mpya catalunya huku valencia wakimchukua conqulein

Wakati  mtaalamu wa Madrid wenye makao yao pale santiago bernabeu Zinedine Zidane akisisitiza kwamba haoni haja ya kusajili mchezaji mpya J

anuary hii, wapinzani wake FC Barcelona wenye makao yao pale catalunya  wanaendelea kujiimarisha.


Leo wamekamilisha usajili wa beki Yerry Mina kutoka Palmeiras ya Brazil kwa ada ya €11m.8.
Mina amesaini mkataba utakaomuweka Barca mpaka 2023 na kama utahitaji kumnunua wakati akiwa kwenye mkataba itabidi uwalipe Barca kiasi cha €100m.
DONE DEAL: Francis Coquelin amejiunga na  @valenciacf kutoka Arsenal kwa ada ya £12m, amesaini mkataba wa miaka wa 4 kuitumikia Valencia mpaka 2022.

No comments