D~xquad watuletea ngoma yao mpya "MWAKANI"
Dodoma, central zone, makao makuu ya nchi sehemu amabayo wazawa wake ni wagogo pia nisehemu ambayo kuna vipaji vingi sana kama Benard Paulo(ben pol) na Moni centrozone hao nimoja wapo ya wasani wanao kiwasha na kuitambulisha Dodoma katika ramani ya mziki. Kuelekea2018 nakusogezea vijana watano amabao ni Liam,Drew,Dwin,Et rydn,na fellu wote kwa pamoja wakiunda kundi linalo itwa D~xquad vijana ambao wanafanya mziki wa hip-hop ambapo ngoma yao yakwanza kabisa ni "Ndoto mia" ngoma iliyo wafanya wafike pahala fulani lakin so pale walipo kuwa wanataka wao kufikia eneo kubwa amabalo wao wanatakakufika ni dunia nzima wajue waoa wnafanya nini na kwa ubora gani kudhihirisha hivyo wana tuletea ngoma yao mpya inayo itwa MWAKANI ngoma iliyo tengenezwa na producer PAPA, je unataka ujue mwakani kuna nin ndani ya D~xquad skiliza naku i download hapa
Post a Comment