Coca-Cola waja na kinywaji chenye kilevi kwa mala ya kwanza wakiwa na miaka 125
Coca Cola moja wapo yamakampuni kongwe sana duniani likiwa na miaka 125 amabalo limeweza kusambaa sana duniani katika nchi mbali mbali katika swala zima lakukuza bidha kampuni hilo limeamua kuja na budhaa ya kwanza kabisa yenye kilevi
Bidha hiyo ambayo imezinduliwa rasmi nchini Japan exclusively kwa wananchi wa japan amabapo kinywaji hicho kilicho pewa jina Chu-Hi au LEMON DO ambacho kimetengenezwa na shochu, spilit amabayo inamchanagnyiko wa viazi utamu "sweet potatoes"barley na vikolombwezo vingine kinywaji hicho kinacho uzwa 150 yen ($1.40). kibongo bongo ni elfu tatu mianane, kinywaji chenye alcohol 3%,5%, na 7% wakiwa wame wa target wanwake san sana ambao hawa stahili kunywa pombe zenye vilevi vikubwa
Post a Comment