Angel gomes ombwa na mashabiki wa Man U

Manchester united nimoja wapo wa team ambayo ina vijana wazuli na wenye uwezo mkubwa kabisa ukimuongelea Jesse Lingard, Marcos Rashford watanzania hupenda kumuita rashid makame ambaye kwa sasa ameonekan kuto fanya powa akiwa uwanjani ambapo mashabiki wa Man u wame omba nakulalamika chance ambayo anapewa Rashford aweze kupewa kinda wakingeleza Adilson Angel Abreu De Almeida gomes
                                                                                     
Maombi hayo ya mashabiki ya me naswa na mtandao wa Daily Star ambapo mashabiki wengine wame kuwa wakisema huyo mtoto ana uwezo kuliko mjukuu wa falao Mohamed Salah, Gomes ambaye nikinda mdogo mwenye umri wa miaka 17 ambaye amepewa chance kazaa kutumikia kikosi cha Man u kinacho nolewa na Mreno Mourinho je ni kweli Gomes ana uwezo kuliko salah au rashford kinda mwenzake ?  

No comments